gelevahekejr
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 120
- 16
Poleni na job jamani mm mtanzania mwenzenu nataka kuanza kufanya kazi ya kutafuta madini naombeni kujua nitatambuaje hii ni almasi, zahabu, quartz namengine natanguliza shukuran kwenu kwetu yali wahi pimwa nakupatikana almas na dhahabu.