whitefather
Member
- May 29, 2018
- 89
- 75
Mazima inabidi yawe vipi mkuuNi greentomaline lakini mabovu hayo.
Yanakua kama chupa ya sprite mng'ao.Mazima inabidi yawe vipi mkuu
Shukrani sana.Yanakua kama chupa ya sprite mng'ao.
Hapo kwenye masoko ndio pakuwa makini napo kuliko taratibu nyingine zote any way Nenda pale Seaclif hotel ukiingia getini upande wako was kushoto kuna jengo kama utawaona walinzi wa bank pale waulize ofisi za wazungu wanaoshughulika na madini. Note waswahili waogope kama uchaguzi wa marudio.Shukrani sana.
La mwisho masoko kwa tz yanapatikana zaidi wapi?
Msaada kwa anaefahamu haya ni madini gani?
Ukiweka juani yanang'aa sana & colour yake ni greenView attachment 879410View attachment 879411View attachment 879412View attachment 879413asilimia kubwa zaweza kuwa volcanic grass, kama ni hizo hazina dili
Yanapatikana wapiMazima inabidi yawe vipi mkuu
Arusha Na Moshi Na TangaYanapatikana wapi
NjombeYanapatikana wapi