Utambuzi wa mawe haya

Utambuzi wa mawe haya

whitefather

Member
Joined
May 29, 2018
Posts
89
Reaction score
75
Msaada kwa anaefahamu haya ni madini gani?
Ukiweka juani yanang'aa sana & colour yake ni green
IMG-20180926-WA0008.jpg
IMG-20180926-WA0007.jpg
IMG-20180926-WA0006.jpg
IMG-20180926-WA0005.jpg
 
Shukrani sana.
La mwisho masoko kwa tz yanapatikana zaidi wapi?
Hapo kwenye masoko ndio pakuwa makini napo kuliko taratibu nyingine zote any way Nenda pale Seaclif hotel ukiingia getini upande wako was kushoto kuna jengo kama utawaona walinzi wa bank pale waulize ofisi za wazungu wanaoshughulika na madini. Note waswahili waogope kama uchaguzi wa marudio.
 
Back
Top Bottom