Utamfanya nini mwanamke huyu?!

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Kakubambikia mimba
Kakubambikia mtoto
Umeshindwa kuprovide child support
Kakushitaki
Umefungwa miaka 5
Umetoka
Umekwenda partenity court
Imethibitika mtoto si wako
Naye anakiri anamjua baba wa mtoto
Utamfanyanini mwanamke huyu?!
 

Attachments

  • minded.mp4
    9 MB
Nilibambikiziwa mimba badae nkagundua nikihudumia miezi 9+ πŸ˜…πŸ˜πŸ˜… nkaja gundua tarh za kujifungua hajifungui nkamtupa kaja kujifungua juzi naamini mungu anamnyoosha kila week ananpgia simu kuniomba nimsaidie elfu 2 ya kula nampa matusi ila hakomi kuntafta
 
Achana na huyo manzi kwani bei gani halafu kosa kubwa sana kwa vijana wengi ni kukubali na kulea mimba kwa manzi amabae haujaoa.
Wadogo zangu wewe kataa mimba mtoto akiwa ni wakwako atakuletea tu tena kuna wakina sisi tulio na damu kali kama wachina akizaliwa wanakuletea toto lako.
Kaa chonjo kataa mimba hakikisha hadi mtoto anazaliwa tena kama hafanani na wewe kimbia kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…