Utamhic nani?

Utamhic nani?

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Upo ndani ya daladala na
1.chris brown
2.rick ross
3.nicki minaj
4.beyonce
5.rihanna
6.msaga sumu
Mara paap!! umeibiwa kasimu chako cha techno,utamuhis nan????*
 
msaga-sumu-468x336.jpg
 
Huwa Siamini wanawake Nick, Beyonce na Rihanna lazima wanipe simu yangu ikikosekana kwao Rick Ross anakuwa mtuhumiwa namba mbili.
 
Back
Top Bottom