Utamiss nini duniani baada ya kuondoka kwako?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Habari wadau

Ukweli ni kwamba miaka mia moja nyuma hatukuwepo na baada ya miaka mia moja mbele hatutakuwepo (so sad[emoji24][emoji24])

"Kila nafsi lazima ionje kifo"[emoji24][emoji24]

Sasa je utamiss kitu gani baada ya kuondoka katika huu ulimwengu?

Binafsi mimi nitamiss nyama ya kukaanga
 
Kuna mtu mmoja huko nyuma ya kibodi chake ndio anamalizia kutype kuelezea yaliyo moyoni mwake ya kuwa roho yake ikitwaliwa atamiss kutumbua papuchi
 
kitimoto au sio
 


Kifo ni kama usingizi mzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…