Utamjuaje Mwanamke au msichana mwenye tego (usinga) au maagano mabaya ya kingono?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Tunakutana na watu wengi, tunatamani kujiusisha nao kingono. Mara kadhaa tunasikia mtu na mtu wamenasana au baada ya kula mzigo sehemu alifariki au kawa kichaa na kadhalika.

Maana kiuhalisia kunawengine walifungwa maagano wakiwa wadogo ata wao hawajijui Ila ukiingia tu imekula kwako.

Je, unaweza tumia tahadhari gani kujirizisha Mara zote hii mali Ni Safi kwa matumiz ya Mwanadamu?
 
Kifupi baki njia kuu,ukishindwa dandia hata wanafunzi ili uende jera kuliko kuwa chizi ama kunasiana
 
Unajaribu kumchezea mbususu kwa kuingiza kidole kikinasa unajua ni tengo,so unajiongeza haraka kukitoa ikishindikana unakata mbususu na kusepa nayo kidoleni
 
Kuna namna ya kujua na namna ya kuepuka mshana Jr
 
Kama ni usinga(uchawi wa kisambaa) weka chuma chini akivuks tu chuma kinakatika.

Lakini usinga ni lazima mgoni upewe onyo usiposikia ndio wana mwekea mwanamke

Wewe hats uwe mtwara nyege zitakupanda utataka uje ule mzigo hapo hapo inakula kwako
 
Nimeshuhudia wanawake wengi tena mabinti wakiwa na chaleni jambo moja wapo lakuzingatia.
La pili ni mwanamke yoyote anayependa hela na mafanikio yake hayaonekani mara nyingi hela zinaliwa nasangoma na maagano yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…