Utamjuaje mwanamke mruka ukuta?

Sidhani kama wanawake wanapenda hii kitu.ni bas tu wanawalidhisha mabwana zao
 
Dah,,, wabongo kwa kujadili ujinga,,,,,, ila ukiweka uzi wa maana huoni hata wa kupita,,,,,

Aisee sijui tupoje "sisi wabongo" maana hata wewe Mkuu Losin nilijua utasoma heading tu, upite lakini ikabidi uingie kujua, nilitegemea u-ignore na kutafuta hizo mada za maana!
 

One of the experienced guys!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…