Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Sio wote wako hivyo emmyta, pia sio wote ni wa vijiweni wengine wanajitambua.Nadhani ni zile tabia za kwenye vijiwe wakikaa wanadanganyana ndio wakipata wanawake wanataka wakajaribu.
Ila kiujumla wanaume mna roho mbaya hamna huruma.
BTW madhara ya 0713 ni makubwa mno