Mh.. nani halali kwajili yetu jamaniI so much respect him. Yapo mengi ya kujivunia juu yake.
Watu munalala, munaamka, munaenda kokote kwa muda wowote bila hofu hamjui kama kuna watu wanakesha kwaajili yenu ili nchi tu iwe salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh.. nani halali kwajili yetu jamaniI so much respect him. Yapo mengi ya kujivunia juu yake.
Watu munalala, munaamka, munaenda kokote kwa muda wowote bila hofu hamjui kama kuna watu wanakesha kwaajili yenu ili nchi tu iwe salama.
Kama unapumzika mkuu, we pumzika tu. Wapo watu hawalali kwaajili yenu.Mh.. nani halali kwajili yetu jamani
Anatakiwa aweke B 9 mezaniAlimnyoosha Kwa lipi
Mbona umemkumbuka ni ndugu yako?Nani anamwongelea tena? Duh! Hii dunia hadaa!
Wwe najua unataka kuanzisha ligi ya Marehemu waliosahaulika mapema na wale hadi Leo hawasauliki bado wako midomoni mwa watu! Huu Mkataba wa Bandari kuna Marehemu mmoja Kesha angushiwa zigo, na hao ndiyo akina Marehemu ambao kusaulika itakua ngumu sana!!Nani anamwongelea tena? Duh! Hii dunia hadaa!