Utamkumbuka Benard Membe kwa lipi?

I so much respect him. Yapo mengi ya kujivunia juu yake.
Watu munalala, munaamka, munaenda kokote kwa muda wowote bila hofu hamjui kama kuna watu wanakesha kwaajili yenu ili nchi tu iwe salama.
Mh.. nani halali kwajili yetu jamani
 
Mkumbuke ww n familia yako pia inatosha tu
 
Nani anamwongelea tena? Duh! Hii dunia hadaa!
Wwe najua unataka kuanzisha ligi ya Marehemu waliosahaulika mapema na wale hadi Leo hawasauliki bado wako midomoni mwa watu! Huu Mkataba wa Bandari kuna Marehemu mmoja Kesha angushiwa zigo, na hao ndiyo akina Marehemu ambao kusaulika itakua ngumu sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…