Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Kwa msafara wa waziri Mkuu!Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Kumbe mtu ni mwendazake!Raisi ni mzima wa afya
DuhNitamkumbuka kwa kutumiwa nyoka akiwa kwenye jukwaa siku ya kilele cha wiki ya viziwi huko Iringa
Hapo ndipo pa kusomwa repeatedlyMapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Vipi umeacha kamari?🤣🤣🤣Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
ititamkumbuka kwa kusimama msikitini mbele ya membari siku ya ijumaa na kusema kuwa Magufuli ni mzima na anaendelea na kazi zake ilhali akijua kabisa kuwa ameshaaga dunia. Sitomsahau kwa kudanganya umati wa watanzania tena mbele ya kibla katika siku ya ijumaa!!!!Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Wakuu wa vitengo walimuogopa kuliko hata Magu mwenyewe🤗🤗🤗🤗Akikagua miradi enzi za JPM alikua ni mbaya zaidi ya kukutana na JPM mwenyewe, JPM anaweza kukukaushia kiaina flan kama hujazingua sana, ila yeye hakukauishii anakusokota.
Kwa uwongo huu. Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Mlitaka mumuone anatembea magomeni au Kariakoo?Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.