Utamkumbuka Kassim Majaliwa kwa jambo lipi?

Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Nitamkumbuka zaidi kwa Uongo wake hasa pale Confidently kabisa alipotuambia Watanzania kuwa Hayati Magufuli yuko Hai na yuko Ofisini anapitia Mafaili wakati kumbe tayari apambana na Baridi Kali la Friji za Mochwari ya kwa Mzena Hospital akiwa tayari ameshang'ata Ulimi mazima kwa Msaada tukuka wa Israeli mtoa Roho.
 
Duh
Hii hatukuisikia

Ni baada ya ule moshi Ruangwa?
Sina uhakika, ingawa hii ilitokea 2019 kama sijakosea.
Ila suala la kutumiwa nyoka ni true story na askari aliyemuua huyo nyoka alipewa posho laki mbili.
 
Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Mtu asiye na skendo ila kwa kuwa kijani ,hapo sijui tena.
 
Kama anastaafu na huwahi kukingia kwenye 12 zake kafanye ibada, ukisikia chuma cha mjerumani, jasho linaweza kukutoka saa moja kamili za asubuhi
 
Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Lile kokoto lake kichwani
Alivyoweza kudhibiti mvi zake angeweka kwenye watu wake kule basi leo angekua anaongea mengine
No reform No Election
 
Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.

Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.

Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.

Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Ni Mwalimu wangu Bora Kabisa
 
Kwa uongo wakuliongopea TAIFA (kifo cha jiwe)
Na pia hakuishia hapo juzi alisema atagombea jimboni kwake ubunge baada ya cku 5 kaongopa na kusema kua sigombei tena ubunge (kaliongopea bunge)
KAZI ni kipimo cha utu
 
Sina uhakika, ingawa hii ilitokea 2019 kama sijakosea.
Ila suala la kutumiwa nyoka ni true story na askari aliyemuua huyo nyoka alipewa posho laki mbili.
So nyoka alipita umati wa watu akamfuata PM
 
Atakumbukwa kwa kutaka kugawa Lindi ili Ruangwa ije kuwa mkoa kwa kupeleka taasisi na kujenga majengo makubwa yenye hadhi ya mkoa Wilayani.
Kwaheri Namungo fc.
 
Akikagua miradi enzi za JPM alikua ni mbaya zaidi ya kukutana na JPM mwenyewe, JPM anaweza kukukaushia kiaina flan kama hujazingua sana, ila yeye hakukauishii anakusokota.
Enzi zile yeye ndo alikua wa kuogopwa hana utani utani kama Magu dadeki.

Ila awamu hii, daah kinyonge sana.
 
Alikuwa anaelekea kwa PM bila kujua amevukaje umati wa mamia ya watu.

Hii Dunia ina mengi.
Ukweli anaujua Mungu
Huyo askari aliyemuua ni shujaa
Angali hai kweli kwa shambilio kama hilo🤣
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Back
Top Bottom