GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nitamkumbuka zaidi kwa Uongo wake hasa pale Confidently kabisa alipotuambia Watanzania kuwa Hayati Magufuli yuko Hai na yuko Ofisini anapitia Mafaili wakati kumbe tayari apambana na Baridi Kali la Friji za Mochwari ya kwa Mzena Hospital akiwa tayari ameshang'ata Ulimi mazima kwa Msaada tukuka wa Israeli mtoa Roho.Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Sina uhakika, ingawa hii ilitokea 2019 kama sijakosea.Duh
Hii hatukuisikia
Ni baada ya ule moshi Ruangwa?
Mtu asiye na skendo ila kwa kuwa kijani ,hapo sijui tena.Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Lile kokoto lake kichwaniMapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Ni Mwalimu wangu Bora KabisaMapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
So nyoka alipita umati wa watu akamfuata PMSina uhakika, ingawa hii ilitokea 2019 kama sijakosea.
Ila suala la kutumiwa nyoka ni true story na askari aliyemuua huyo nyoka alipewa posho laki mbili.
Alikuwa anaelekea kwa PM bila kujua amevukaje umati wa mamia ya watu.So nyoka alipita umati wa watu akamfuata PM
Uyui Tabora, umenikumbusha hiyo skendo!Yule contractor aliyejenga kibanda cha mlinzi cha million 12 daah...
Enzi zile yeye ndo alikua wa kuogopwa hana utani utani kama Magu dadeki.Akikagua miradi enzi za JPM alikua ni mbaya zaidi ya kukutana na JPM mwenyewe, JPM anaweza kukukaushia kiaina flan kama hujazingua sana, ila yeye hakukauishii anakusokota.
Ukweli anaujua MunguAlikuwa anaelekea kwa PM bila kujua amevukaje umati wa mamia ya watu.
Hii Dunia ina mengi.
Sina uhakika kama yuko hai au laaUkweli anaujua Mungu
Huyo askari aliyemuua ni shujaa
Angali hai kweli kwa shambilio kama hiloš¤£
nenda kusini kwenye zao korosho na ufuta ndiyo utajua undava wa huyo mzee kupitia mwanae ni mpigaji hasa huyo mzeeAmeimaliza miaka kumi hana kashfa yoyote!