Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Nenda kusini kwenye zao la korosho na ufuta ndiyo utajua undava wa huyo mzee ccm wote ni wale wale tuWahuni wa C C M na wapiga dili lazima wamchafue ila jamaa ni mchapakazi na hapendi ushenzi ushenzi, ni mtu kazi anastahili kuwa raisi, Magufuli kwa hapo aliona mbali ila mfumo uliopo umempiga ganzi.
ga dili huyo kwenye korosho na ufuta kupitia kwa nwanae na mshikaji wake chihonda hamna kitu hapo ccm wote ni wezi tuMtu asiye na skendo ila kwa kuwa kijani ,hapo sijui tena.
Hakunahakuna
Hapo ndio nilijuaga jiwe hakuwa na rafiki zaid ya best enemyAlipotulisha matango pori kwa kusema jiwe yupo fit na anachapa kazi. Tena akiwa ndani ya msikiti.
A few moment later.....
Ukapigwa wimbo wa taifa na jiwe akatangazwa kwamba si jiwe tena na amebadili makazi toka magogoni na kuamia Motuary.
Huyu jamaa alikuwa mwongo sana.
Nitamkumbuka kwa jambo moja tuu, "Rais magufuli ni mzima wa afya"Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Maadam hata wewe HUWEZI kuuweka hapa huo upigaji na undava na namna anavyohusika nao, basi HANA KASHFA!Mnenda kusini kwenye zao korosho na ufuta ndiyo utajua undava wa huyo mzee kupitia mwanae ni mpigaji hasa huyo mzee
Uongo uongo.Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.
Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu.
Majaliwa anaingia kwenye rekodi ya Fredrick Sumaye, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 mfululizo.
Je, ukiwa kama Mtanzania wa kawaida, utamkumbuka Mh. Majaliwa akiwa Waziri Mkuu kwa jambo gani?
Nisipitwe hapa,alisemaje ktk hiliKwa kumruhusu bwana MAFWELE AUE WATU.
Na hii ndio imemfsnya asioendwe na Wahuni wengi serikalini...na hapa JFAkikagua miradi enzi za JPM alikua ni mbaya zaidi ya kukutana na JPM mwenyewe, JPM anaweza kukukaushia kiaina flan kama hujazingua sana, ila yeye hakukauishii anakusokota.
DahLile kokoto lake kichwani
Alivyoweza kudhibiti mvi zake angeweka kwenye watu wake kule basi leo angekua anaongea mengine
No reform No Election
KustaafuKwani ameenda wapi?
Kwa hili halikuwa sawa kiutumishi. But lilishakuwa addressedKwa kuwachapa wale walimu viboko
Kwa upande wangu nitamkumbuka sana kwa uongozi wake wa uadilifu mkubwa , kusimamia miradi vizuri na miundombinu kwa kushirikiana na viongozi wengineo hivyo kuleta maendeleo makubwa nchini.Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa.