Hi guys,
Kuna binti mmoja anaitwa JENNY, ni mwanafunzi 1st year sua-anasomea Bsc.FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY ENGINEERING, kaniomba ushauri nikasema nitaweka humu kwa ma great thinkers ili watoe maoni na ushauri wao.
Stori yake ipo hivi:
Hana wazazi na ndugu zake hawana uwezo wa kumsomesha kwani tangu aende chuo october mwaka jana hajawahi ku2miwa hata tsh.1 kutoka kwao, lakini alibahatika kupata sponsorship kutoka wizara inayohusika na chakula, alipata fedha ya kwanza 650,000, hakujua ilivyoisha, akapata ya pili 630,000,nayo imekwisha kwani aliwatumia wadogo zake fedha ya matumizi na nyumbani pia.
SASA KAPEWA Tsh.700000 kwa semiester itakayoanza 17th march, ANAULIZA NA KUOMBA USHAURI NI BIASHARA GANI AFANYE ILI HIYO FEDHA IINGIE KWENYE MZUNGUKO?,PILI AFANYE NINI ILI HIYO FEDHA AITUMIE VIZURI(yaani imletee faida)?
TUNAOMBA USHAURI.