Utamsaidiaje binti huyu?

Utamsaidiaje binti huyu?

Ahsante kwa ushauri,hivi itatosha kupata till number na mtaji?

kwa kawaida till huwa zinatolewa bure ila sizani kama ana vigezo vya kupata till maana vigezo ni kitambulisho, tin number ya biashara na leseni ya biashara, mi naweza kumsaidia til ya eatel money kama atahitaji
 
Chuo UDSM Kuna dada alikua Anauza ubuyu na karabga za mayai

usim pm atakutongoza why asiweke hadharani hapa...hovyo kabisa wanaume wenzako wanaomba msaada unaziba masikio ila kusikia ni ke unataka aku pm....kama una nia nzuri weka kila kitu hapa...hovyo kabisa
 
Kweli kuna watu wanafikiri kwa kutumia makalio, hata aibu huoni wenzio wanatoa ushauri wa maana wewe unakazana kuuza mwili kweli wewe mwehu una boa, jichunguze
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa

we kweli mzaramo!
 
kama muda unaruhusu afanye biashara ya chakula, chai hapo chuoni itamtoa
 
Namshauri aje Dar es salaam anunue nguo za mitumba awe anawauzia wanafunzi hostel,hasa kipindi boom limetoka.Akiitumia kununua smart phone, wigi,wanja,poda na pedo shauri zake.Ataishia kupulizwa au kutumia jani la mmea korofi na kuhairisha mwaka kutamuhusu.
 
Sina wazo kuhusu biashara gani afanye lakini ushauri wa bure kuhusu ufanyaji wa biashara. Kama mwanafunzi mwenzio nilishajaribu biashara lakini niliangushwa na marafiki na ndugu. Ogopa hao watu kwenye biashara. Kuwa mkali sana kwenye pesa na ogopa kukopesha. Heri hela uliyonayo iwe na mzunguko mdogo kuliko iwe kwenye mifuko ya watu wengine. Labda unaweza kuanza kwa kuangalia ni kitu gani au huduma gani watu wengi wanaokuzunguka hapo chuoni wanahitaji. Chagua kitu ambacho upatikanaji wake ni mgumu ili ukianza kitawavutia watu kwako. Njia nyingine unaweza kufikiria ni kitu gani unaweza ukafanya kikawaletea watu convinience ambayo itawashawishi kuhamia kwako kama tayari kuna mtu mwingine anafanya hiyo biashara. All the best, keep us updated.
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa

Jina lko sawasaw na akili pia matendo.khanga zimeisha kwn?au ngoma zishatoboka?!mdada km vp fanya business ya money transaction as in tigo airtel etc if da volume z large enough to boost da cash inflow.al da best!
 
Manina zao,wanajua kucheza bao na kula wali midume mizima so akili ya kufikiri hawanaga!mxiuuuuuuuuuuu zake,mfyuuiuuuuuuuuu kabisa,huu ushauri angewapa dada zake unawafaa!

Sijawahi ona post zako, nmestuka kuona ya kwanza ni hii.
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa

mzaramo!!!
 
Asanteeee. Bonge la ushauri. Akanunue mitumba karume, na kkoo urembo na hata chupi na sidiria.

Kuna mtu nilikutana nae akawa ananipa stori yeye alikuwa anauza baragu za ukwaju anachanganya na ubuyu. So akipata kifriza kidogo anaweza kujrubu hiyo pia.
Pole mdogo wangu, mimi pia sijatoka familia yenye kipati kikubwa ba nilikuwa sipati mkopo nilipokuwa chuo na sikuwa nauza mwili wangu na maisha yangu yalikuwa mazuri zaidi ya hao walokuwa wanajiuza.
Nilitumia opotunity ipasavyo, nilikopa pesa kidogo kwa rafiki yangu nikaongeza na poket money kidogo nilikuwa nikitumiwa na wazee nyumbani nikawa nnauza vitu vya kike vya urembo na mavazi. Unajua wadada wa chuo wanavyopenda kuvaa, basi nilijifanya ----- nikawa mmachinga mzuri sana na maisha yangu yalisonga vizuuuuuri kama mtoto wa kibosile.

Angalia oppotunity tu ya sehem uliyopo ata kama ni kuuza maandaz ukiona yanafaida piga kazi
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa

Na wewe unajiita mtu, mi nadhani wewe inaakili ya nguruwe
 
eti afungue tigo pesa,m pesa,airtel money achana na hiyo biashara wanaokushauri tayari wana maslahi binafsi ati nitakusaidia kupata til!umeshaonekana dil,japo zinatolewa bure ila kibongobongo ni biashara na hiyo pesa ni ndogo na hata faida ya hiyo biashara ni ndogo kwa wakala wananufaika sana ni makampuni na wakala wakuu wewe ndo unawafanyia kazi,angalia biashara nyingine nguo au urembo
 
Japo umenikoti, lakini sijaelewa kwanini umeandika hiki ulichokiandika, mbona mimi sikuomba ani-PM au nim-PM? NILICHOSEMA NI KWAMBA NAKUMBUKA PALE udsm KUNA DADA ALIKUA ANAUZA UBUYU NA KAQRANGA, SASA HAYO YA pm SIKUOMBA kwahio next time angalia unachokijibu au kuwa specific ili ueleweke vizuri. Au ulimaanisha nisim-PM? pengine alitaka nim-PM? Thanks
usim pm atakutongoza why asiweke hadharani hapa...hovyo kabisa wanaume wenzako wanaomba msaada unaziba masikio ila kusikia ni ke unataka aku pm....kama una nia nzuri weka kila kitu hapa...hovyo kabisa
 
Biashara si kila mtu anaweza kufanya! Cha msingi ni kuwa hela ya Matumiz ya Chuo ibaki kuwa ya chuo tu, na zaidi ajibane ktk matumizi yake .
 
Back
Top Bottom