Utamsaidiaje binti huyu?

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Hi guys,

Kuna binti mmoja anaitwa JENNY, ni mwanafunzi 1st year sua-anasomea Bsc.FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY ENGINEERING, kaniomba ushauri nikasema nitaweka humu kwa ma great thinkers ili watoe maoni na ushauri wao.

Stori yake ipo hivi:
Hana wazazi na ndugu zake hawana uwezo wa kumsomesha kwani tangu aende chuo october mwaka jana hajawahi ku2miwa hata tsh.1 kutoka kwao, lakini alibahatika kupata sponsorship kutoka wizara inayohusika na chakula, alipata fedha ya kwanza 650,000, hakujua ilivyoisha, akapata ya pili 630,000,nayo imekwisha kwani aliwatumia wadogo zake fedha ya matumizi na nyumbani pia.

SASA KAPEWA Tsh.700000 kwa semiester itakayoanza 17th march, ANAULIZA NA KUOMBA USHAURI NI BIASHARA GANI AFANYE ILI HIYO FEDHA IINGIE KWENYE MZUNGUKO?,PILI AFANYE NINI ILI HIYO FEDHA AITUMIE VIZURI(yaani imletee faida)?

TUNAOMBA USHAURI.
 
Mwambie ani PM Nitampa Proposal nyingi sanaaaa...
 
Chuo UDSM Kuna dada alikua Anauza ubuyu na karabga za mayai
 
Mbwa

Ajaribu Mpesa,Tigopesa ama Airtel Money,hapo hapo chuoni ataweza kupata kidogo kitu wakati mtaji wake utabaki intact
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa
 
Ajaribu Mpesa,Tigopesa ama Airtel Money,hapo hapo chuoni ataweza kupata kidogo kitu wakati mtaji wake utabaki intact

Ahsante kwa ushauri,hivi itatosha kupata till number na mtaji?
 
corleone,anaweza tumia ya mtu ama awe chini ya mtu mwenye matawi,watashare profit,ni nzuri kwakua ni stress free na ataifanya yeye mwenyewe
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa

Hebu jifikirie kama unaweza kumwambia dada yako ushauri kama huo
 
Km huna uzoefu na biashara ucfanye utapata asara bure ushindwe chuo.bora abane matumizi izo zinamtosha.
 
Pole mdogo wangu, mimi pia sijatoka familia yenye kipati kikubwa ba nilikuwa sipati mkopo nilipokuwa chuo na sikuwa nauza mwili wangu na maisha yangu yalikuwa mazuri zaidi ya hao walokuwa wanajiuza.
Nilitumia opotunity ipasavyo, nilikopa pesa kidogo kwa rafiki yangu nikaongeza na poket money kidogo nilikuwa nikitumiwa na wazee nyumbani nikawa nnauza vitu vya kike vya urembo na mavazi. Unajua wadada wa chuo wanavyopenda kuvaa, basi nilijifanya ----- nikawa mmachinga mzuri sana na maisha yangu yalisonga vizuuuuuri kama mtoto wa kibosile.

Angalia oppotunity tu ya sehem uliyopo ata kama ni kuuza maandaz ukiona yanafaida piga kazi
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa

?????????!!!!!! Try to be critical man, kama wewe mambo yako yapo sawa usimdhalilishe binti huyo kwa jinsi alivyo na anavyouliza afanye nini kuendeleza msaada kwa wadogo zake wanaohitaji kusoma, muombe Mwenyezi Mungu msamaha kwa kufuru hii, ingawa mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa, aliyekupa wewe ndo kamnyima yeye, all in all ya Mungu mengi na hamna aijuaye kesho.
 
Ushauli mzuli sana dada angu.kama hana uzoefu na biadhala asifanye atakula hasala bule bola ajibane 2.itamsaidia.
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa

Wazaromo wangekuwa na washauri wazuri,wangekuwa ndio matajiri wa jiji leo kwa kumiliki majengo yote mazuri unayoyaona hapa mjini ila ndio hivo ardhi waliuza na hela wakachezea ngoma,wakaongezea wake.mleta mada usivunjike moyo ngoja washauri waje wakushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…