Utamshauri mtu usiyemfahamu?

Hata mimi naamini hivyo na ninapenda kuwafundisha wengine maadam wapo serious.
 
Hii ni bangi stiki ya pili naivuta 🚬🚬🚬 weekend tulivu,

anyway, usiwe mwepesi kukutana nae, jipe u-busy na ratiba zako.

hakikisha kabla ya kukutana nae umepata baadhi ya taarifa zake na usalama uwepo.
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hapana ni mshirikina mbwa huyo mwambie nimehama kimwili nikirudi utamwambia mbwa yule.
Kweli siyo mshirikina. Ni mtu ninayemfahamu. Ni mcha Mungu sana. Labda kama alikosea tu katika kujieleza. Lakini katika masuala ya kumfanyia mtu ubaya hutampata.
 
Lakini chuo sio mtaani.
Chuo unaweza kumsaidia na wote mkafaulu ikawa ni win win situation.
Ila kitaa unaweza kupoteza kwa kuonesha ushirikiano nae.

Kikubwa jamaa awe makini na amjue vizuri huyo Makini ni nani na biashara iko stage gani na iko wapi, ajue je ni competitor wake au laah.
 
Kweli siyo mshirikina. Ni mtu ninayemfahamu. Ni mcha Mungu sana. Labda kama alikosea tu katika kujieleza. Lakini katika masuala ya kumfanyia mtu ubaya hutampata.
Haya utakuja na uzi kusema ningelijua tumepitia hayo mpaka biashara nikafunga uwe na wakati mwema
 
Kuwa makini pengine ni mbinu ya kukupeleleza ili umpe codes alafu mwishowe mnakuwa rival maana hujui lililo moyoni mwa kiumbe huyu mwanadamu.
 
Ndio maana nimeeleza hapo awali nimsikilize kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…