GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #21
Hata mimi naamini hivyo na ninapenda kuwafundisha wengine maadam wapo serious.Personally ntamshauri the general things ambazo sio siri bali ni general knowledge.
Kila mtu ana angle yake kwenye business ambayo hata mtu akiiga vipi bado hataweza kuwa efficient kiivyo.
Lakini kuna vitu general ambavyo sio dhambi ukimshirikisha mtu.
Mimi ilishanitokea many times na hua nawashauri bila jam, though kila biashara ina siri zake na hizo huez kutoa bali ni jukumu lake kuzitafuta
Huez kumtafunia kila kitu lakn sidhani kama n kosa kumuonyesha njia