Utamshauri nini mwanamke huyu?

Taitu2024

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2024
Posts
244
Reaction score
295
Ni mwanamke wa 28 yrs anapendwa sana asipopapenda na maisha ya huku asipopapenda mwanaume ni jobless msomi aliekosa ajira tangu ahitimu 2018 maisha ni ya vibarua lakini kaka anamsihi dada waoane watafute pamoja Mali hutafutwa lakini tatizo sio ujobless yeye hampendi tu.

2. lakini anapopapenda hakuna muelekeo wowote wa ndoa mawasiliano ya shida anatamani angebadilisha upendo Kwa anapopendwa auhamishie anapopenda wakuu ushauri jamani maana wengi tumepitia haya mambo
 
Penda ujapopendwa, usipopenda hutakujapendwa utakapopenda.
 
Nasikia miaka hiyo ndio ya mhaho binti huelewi ushike wapi uache wapi🤔🤔
 
prime age ya mwanamke kuweka vigezo ni 20---25 yrs.
umri umekutupa mkono acha kutangatanga na wanaume kaa utulie uolewe
 
We jitafute uje kua kama shilole unaoa unaacha unadeal na vibe10 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…