Utamtambuaje msichana anayekupenda ila anashindwa kukwambia?

honey bee

Senior Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
139
Reaction score
232
Naombeni tuzungumzie jinsi gani utamtambua mwanamke anaekupenda ila anashindwa kusema!!

Participation kubwa itoke kwa wadada na wanawake, tunaomba mtiririke!!! Na kwa wanaume mnaofahamu situation hii kazi ni kwenu!

Sitaki matusi! Au kuambiwa " shule zinafunguliwa lini". Kama huna cha kujibu, basi!
 
atafanya kila unachomwambia, atakununulia vitu hata hukumtuma, atakuonea aibu, she will laugh at your stupid jokes, atapenda kuspend muda mwingi na wewe
 
Jinsia yako tafadhali. Maana naona kama imekaa Mguu pande vile๐Ÿ•บ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ
 
Maliza kwanza shule kijana, mapenzi yapo tu usiyaharikie..
 
Mwanamke anayekupenda na interest na wewe tu anafurahia sana kuwa na wewe karibu ๐Ÿ˜… atatafta means muonane tu frequently na vizawadi zawadi lazma ajiongeze yani lazma ahakikishe mnameet at some point kwa bahari unamaliza chap!
Kuna wengine wapo hivo sema jichanganye upige saundi uone kama hajawa adui yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ