Utamtambuaje msichana anayekupenda ila anashindwa kukwambia?

Utamtambuaje msichana anayekupenda ila anashindwa kukwambia?

Mwanamke anaekupenda, anajamba mbele yako hata kama hajakuzoea
 
Basi huwa mnatake advantage ya kutokuombwa mteleze bureee 😂😂😂😂......ni sisi ndio tupo

Kwa uzoefu wangu, mdada akiwa na hisia Za kimapenzi kwa mwanaume, mawazo ya kuomba hela huyo mwanaume yanakuwa hayapo kabisa kichwani kwake, yani utakuta mdada akija kwako anataka akae tu na wewe mpige story weee Hata cku nzima, mcheze sebuleni kama watoto weee, a-spend time na ww, akushike shike weeee, yani hapo uwepo wako anaona ni raha kuliko kulala na kupata lunch Hyatt regency, au burj khalifa

Uzoefu huo hapo juu umenisaidia na kuniokolea Malaki ya shillingi, mdada nikimuomba namba leo kesho akaniomba hela, namba yake nafuta na ninakata naye mazoea siku iyo iyo Evelyn Salt
 
Hao hawapo tena, NI SISI NDIO TUPO.....
 
Mkuu una umri gani?
Unauliza tena ww ni smart angalia jina tu utamfahamu mtu (Honey bee) Huyu ni bwandogo kabisa mpaka karne hii ya 21 anauliza utamjuaje mwanamke anaekupenda. Atakufanyia ishara kibao za kukuchekea na kurembusha macho yake .
 
Mkuu,najua hapo unahisi kuna mwanamke anakupenda sasa unatafuta uhakika humu,we mfate mwambie simple i like you and i want to be with you,usitake kukuza mambo kama series za kikorea!
Hiyo ni njia rahisi na wala hawatakagi maneno mengi kama kweli anakupenda. Wakao wa aina tofauti. Kuna ambaye anaweza kukubali day 1 na kuna ambao wataonyesha mshituko na wala isikusumbue. Kama anakupenda ataanza kukuwekea mazingira ya kwanini anaona ni ngumu. Sasa hapo ni wewe kujenga hoja. Cha msingi wakati unamueleza muonyeshe full confidence na kuonyesha kwamba unamaanidha unachokisema. Atakupa ahadi labda ya kukupa jibu. Fuatilia ahadi hiyo. Akizingua mara hii jifanye kama una withdraw, utaona reaction yake. Hapo ukirudi mara ya tatu lazima akubali. Kama ikishindikana usiendekeza sana kumlazimisha maana atakuja kukutesa baadae. Subiri akionyesha utayari wewe anzisha mahusiano.
 
Back
Top Bottom