Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Mbona hiyo ni kazi ndogo sana? cha kufanya mtengenezee chupi za bati,kisha nunua kufuli kubwa ya shaba....kila atokapo bilaNi mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya wasichana kuwa si waaminifu kwa wapenzi wao hali inayonipa wakati mgumu mimi ambaye nafikiria kutafuta msichana ambaye ntamsoma tabia na ikiwezekana awe 'my wife'. Kwa anayejua namna au jinsi ya kumtambua mwanamke mwaminifu tusaidiane, ni hayo tu! Bwana awe nanyi na Asanteni!
Mbona hiyo ni kazi ndogo sana? cha kufanya mtengenezee chupi za bati,kisha nunua kufuli kubwa ya shaba....kila atokapo bila
wewe unampiga kufuli alafu funguo unabakinazo wewe mwenyewe....kwa utaratibu huu utaishi nae miaka 100.
karibu sana JF
Mkuu ni bora izibe kotekote,kwani wabongo hawana imani....hiyo sehemu unayosema isizibwe ndiyo kabisaaaa!!!! yaani ni borahiyo chupi ya bati isizibe kote mkuu, angalau mwachie sehemu ndogo ya kuendea haja kubwa teh teh teh
Ni mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya wasichana kuwa si waaminifu kwa wapenzi wao hali inayonipa wakati mgumu mimi ambaye nafikiria kutafuta msichana ambaye ntamsoma tabia na ikiwezekana awe 'my wife'. Kwa anayejua namna au jinsi ya kumtambua mwanamke mwaminifu tusaidiane, ni hayo tu! Bwana awe nanyi na Asanteni!
Ndiyo maana mimi nina miaka 65 lakini sijaoa, nimeshindwa kupata mwaminifu kabisaa. Kuliko kuusononesha moyo wangu bora niendelee kuwa alone.
Ndiyo maana mimi nina miaka 65 lakini sijaoa, nimeshindwa kupata mwaminifu kabisaa. Kuliko kuusononesha moyo wangu bora niendelee kuwa alone.