Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Duh! Sikiliza nikuambie usitegemee kupata mwaminifu haya ni maswala ya kujiridhisha. Mapenzi yanaanza taratibu na yanakuwa kama mbuyu.
Mungu pekee ndie anayejua kuwa huyu ni mwaminifu. Itakuchukua miaka 10 kwa kusoma tabia yake moja tu. Jua kuwa mtu huwa anabadilika kulingana na mazingira. Wengine wapo wasichana wazuri tu na tabia nzuri lakini ni malaya kwa sababu ya mazingira na ukikaanao wapo tayari kuchenji
Mwandamu yuko complex sana. Kinachotakiwa wewe ni kujiridhisha tu na tabia fulani fulani