Utamtambuaje msichana mwaminifu?

Duh! Sikiliza nikuambie usitegemee kupata mwaminifu haya ni maswala ya kujiridhisha. Mapenzi yanaanza taratibu na yanakuwa kama mbuyu.

Mungu pekee ndie anayejua kuwa huyu ni mwaminifu. Itakuchukua miaka 10 kwa kusoma tabia yake moja tu. Jua kuwa mtu huwa anabadilika kulingana na mazingira. Wengine wapo wasichana wazuri tu na tabia nzuri lakini ni malaya kwa sababu ya mazingira na ukikaanao wapo tayari kuchenji

Mwandamu yuko complex sana. Kinachotakiwa wewe ni kujiridhisha tu na tabia fulani fulani
 
Mkuu, ni vigumu sana kumtambua mwanamke ambaye ni mwaminifu au ambaye si mwaminifu kwa sababu uaminifu wa mtu uko moyoni mwa mtu. Cha kufanya wewe muombe Mungu ili akuangazie uweze kupata mchumba mwema ambaye mtaendana kitabia ili muweze kuishi kwa amani na furaha maisha yenu yote
 
Kwanza mtangulize Mungu,blue itakua blue and white will always be white...pili,anza wewe,if you are faithful utakua na uelewa zaidi wa mpenzio,kama unacheat,cku zote utaona nawe unakua cheated,kumbuka ni birds of the same feathers wanakua together..
 
Kazi ndogo sana kumjua mwanamke mwaminifu.....fatilia kwanza marafiki zake afu fatilia family yake.

Ukiona dalili nzuri una anza kufatilia wajomba zake hapo ndo utajua ukweli wake...siri kubwa iko kwa wajomba :biggrin:

Mara nyingi sana mtoto anafata tabia ya mtu alie mlea....na mleaji ni mama na kwa kuwa mama ndo mleaji zaid ya baba...basi wajomba zake watakuwa na tabia kama ya mama yao....Ukiona mama katulia basi na wajomba watakuw awametulia na mtoto wao atakuwa katulia...Ukiona mjomba hajatulia basi na mama ya yule binti atakuwa hayuko mbali na tabia ya mjomba wake na binti wao anakuw akwenye same corner.

Lakni sio siku zote ni vile, ila mara nyingi sana ndo vile....yani unaweza kusema 90% utakuwa umepata ukwel wa tabia yake.

Wako wanawake malaya na watoto zao wametulia ila ni 5% tena iwe mungu kaleta maujiza pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…