Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
kivipi mkuu? sijaelewa fulani hiviNjia rahisi naijua kwa wanawake. Muangalie miguu, lazima itakuwa imesinyaa hata kama sehemu zingine kanawiri kias gan. Miguu itakuwa IMESINYAA tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kivipi mkuu? sijaelewa fulani hiviNjia rahisi naijua kwa wanawake. Muangalie miguu, lazima itakuwa imesinyaa hata kama sehemu zingine kanawiri kias gan. Miguu itakuwa IMESINYAA tu.
aisee huyo ana lake jambo ... kuna watu wana ukimwi miaka nenda rudi wala hawawazi kufaukimwona mtu anauza nyumba, kiwanja, gari na kunywa sifongo kwa sana jua tayari
Ngozi iliyosinyaa huijui?kivipi mkuu? sijaelewa fulani hivi
oh haya ngoja nifanye uchunguzi ntaelewa tuNgozi iliyosinyaa huijui?
lina roho mbaya sana. ila malipo ni hapa hapa duniani kama hayatamkuta basi wanae na kizaz chake. hapo si uuaji wa nakusudi kabisa!! fanya hata kuandika vikaratasi print halaf tupa ofisin na mazingira ya karibu najua ni ngumu sana kusemana anakanyaga sana watoto hapa ofisini hasa wale wa usafi ............
kuna mpishi wa chai kaaga dunia mwaka jana chanzo ni huyu jamaa ananiudhi sababu anafanya kusudi
ni kweli mkuu unakuta usoni kanawiiri kidogo halafu miguu imekonda na inakua meusi kama ni mweupe halaf anatembea kwa kunyenyekea yan polr pole nahis mauvivuNjia rahisi naijua kwa wanawake. Muangalie miguu, lazima itakuwa imesinyaa hata kama sehemu zingine kanawiri kias gan. Miguu itakuwa IMESINYAA tu.
sio wanawake wote mkuu baadhi wana roho mbaya sana. ila nimewahi iona mahali hii jamaa angu aliniadithia alivokua anamkuna alihis imepasuka demu alihuzunika sana kumbe alikua naamwonea huruma jama coz kaadhirika yan yan jamaa aloniamhia hata kaa asahau sababu kaokoa maisha yakeWengine wanakua Kama nguo iliyopauka au inayo chuja
Halafu wana mng'ao Fulani usioeleweka
NB:
Ina bidi uwe makini sababu sio wote wenye dalili hizo wameumia
Mie wengine hisia zangu tuu huwa zinaniambia huyu Dada au huyu kaka kaumia...Ukija kufuatilia vizuri kwa Watu au Ndugu wa karibu Ina dhibitika.
By the way Wanawake watu wema Sana sababu wengine huwa wanakuambia mapema.
ze heby yule deception nimemfatilia sana naona kama kasoma sana hadi kachanganyiiwa. kiasi cha kudharau nadharia za kweli kuna mada yale moja niliipitia. anajisifu sana hakuna wa kumpinga.Shule anayotoa Deception huwa ni nzuri na ina reasoning ya hali ya juu
Tatizo ni kuwa,kwenye field huku mambo ni tofauti,theory zake zinakataa kabisa
Nakumbuka aliombwa afanyiwe injection ya damu ya AIDS patient mwenye viral load ya kutosha jamaa hakukubali
Shule anayotoa Deception huwa ni nzuri na ina reasoning ya hali ya juu
Tatizo ni kuwa,kwenye field huku mambo ni tofauti,theory zake zinakataa kabisa
Nakumbuka aliombwa afanyiwe injection ya damu ya AIDS patient mwenye viral load ya kutosha jamaa hakukubali
RAHISI SANA......leo nataka tufahamu namna ya kuwatambua waadhirika wa ukimwi kwa nje mfano huwa wanakonda, kikohozi kisichokua n kikomo hata nywele kubadilika hata hawa wanaotumia ARVs. huwa ngozi inabadilika japo wanabaki wanene pia vidonda na mabaka kibao.
hii ni njia awali kabisa ya kumhisi mtu mwathirika ukimwi ila sio ya uhakika wengine wanazaliwa navyo na wako active dalili zinaluja kuonekana after 20yrs+... pia kuna type yawatu ambao hawapati ukimwi hata walale n waathirika wngapi BUT vijidudu vinakua mwilini vina flow hata wakipimwa havionekani so kuna kua hamna reaction kati ya damu na virus kwa kitalaamu nimesahau majina ya hawa watu. hivyo wapendwa tusali sana kwani dunia ngumu Mungu na atulinde kwa kweli na vipimo vyetu huonyesha majibu baada ya miezi mi3 na zaid depending on body immunity ya mtu hapa nako panahitaji maombi na ulinzi wa Mungu.
hivyo wapendwa natamani tuelimishane pia tuwasaidie na jamii inayotuzunguka kwa kutumia huu uzi.
madokta, wataalamu mbali mbali na walioyaona haya tupeni utaalamu. vizazi vingi vimepotea kaburini sababu ya vitu vyetu pendwa (mapenzi/mahaba) yanjngono inayosambaza Ukimwi na kuchangia damu.
natanguliza shukrani
UKIMWI ni nadharia...virus ya HIV ilikuwepo mamilioni ya miaka.....Mtindo wa maisha ndio chanzo cha UKIMWi pamoja na kupandikizwa kwenye baadhi ya bidhaa hasa zinazotoka nchi za wazungu.leo nataka tufahamu namna ya kuwatambua waadhirika wa ukimwi kwa nje mfano huwa wanakonda, kikohozi kisichokua n kikomo hata nywele kubadilika hata hawa wanaotumia ARVs. huwa ngozi inabadilika japo wanabaki wanene pia vidonda na mabaka kibao.
hii ni njia awali kabisa ya kumhisi mtu mwathirika ukimwi ila sio ya uhakika wengine wanazaliwa navyo na wako active dalili zinaluja kuonekana after 20yrs+... pia kuna type yawatu ambao hawapati ukimwi hata walale n waathirika wngapi BUT vijidudu vinakua mwilini vina flow hata wakipimwa havionekani so kuna kua hamna reaction kati ya damu na virus kwa kitalaamu nimesahau majina ya hawa watu. hivyo wapendwa tusali sana kwani dunia ngumu Mungu na atulinde kwa kweli na vipimo vyetu huonyesha majibu baada ya miezi mi3 na zaid depending on body immunity ya mtu hapa nako panahitaji maombi na ulinzi wa Mungu.
hivyo wapendwa natamani tuelimishane pia tuwasaidie na jamii inayotuzunguka kwa kutumia huu uzi.
madokta, wataalamu mbali mbali na walioyaona haya tupeni utaalamu. vizazi vingi vimepotea kaburini sababu ya vitu vyetu pendwa (mapenzi/mahaba) yanjngono inayosambaza Ukimwi na kuchangia damu.
natanguliza shukrani
Mzee umeua bendi...Wanawake wanakuwa na mahips makubwa.....na makalio yaliyobinuka kidogo.....
Wanaume wanakuwa wanapenda kuvaa mavazi ya kuvutia na kuendesha magari ya kifahari huku wakiwa na matumizi mabaya ya pesa kwenye manunuzi yao.....
ni kweli watu wapo aina mbili wengine ya kwanza ni CCR5 antagonist yaan receptor inablock hiv from entering na watu aina hii lazima urithi from both parent in chromosome 3 na niwachache sana duniani wenigne wakipimwa ni positive ila dalili hawana wanaweza kuwaumwa baadae after latency(stimuli and response)HIV is virology huwezi kuwa na maambukizi wadudu wasionekane, kuna wanaopata maambukizi lakini immune system yao ni nzuri kiasi cha kuweza kucontrol virus. That means viral load wako ditectable lakini hawana uwezo wa kuaffect CD4 in a way ukose kinga mwilini.
Huwezi kumtambua mgonjwa, ni vizuri kuacha tabia ya kupenda ngono zembe, ukikutana na mwenza mnaeaminiana mkapime wote wawili. Kuambukizwa UKIMWI ni kilema cha maisha ambacho unakipata in less than five minutes pleasure.
nyie ndo mnao poteza watu na mwenzio deception kama vip njoo nkuinject damu yenye virus halaf tuone mrejesho wakeUKIMWI ni nadharia...virus ya HIV ilikuwepo mamilioni ya miaka.....Mtindo wa maisha ndio chanzo cha UKIMWi pamoja na kupandikizwa kwenye baadhi ya bidhaa hasa zinazotoka nchi za wazungu.
POA.......nyie ndo mnao poteza watu na mwenzio deception kama vip njoo nkuinject damu yenye virus halaf tuone mrejesho wake
Hey Guys Did You Know There's No Such Thing As Aids ?, page 1 ...nyie ndo mnao poteza watu na mwenzio deception kama vip njoo nkuinject damu yenye virus halaf tuone mrejesho wake
NO. sidhani kama weng wangeangamia hivi so we wataka kuniambi ni kaugonjwa gani kanaua watu ivo au suggest litumike jina gani maana naona ukimwi haileti maana kamiliHey Guys Did You Know There's No Such Thing As Aids ?, page 1 ...
www.abovetopsecret.com/forum/thread842294/pg1
May 20, 2012 - 20 posts - 16 authors
I'll explain more if you people are intertested but i thought i'd just let you guys know that YES AIDS IS NOT REAL DONT WORRY BAOUT IT ...
Hey Guys Did You Know There's No Such Thing As Aids ?, page 1 ...