Utamtambuaje muathirika wa UKIMWI kwa kumwangalia?

Njia rahisi naijua kwa wanawake. Muangalie miguu, lazima itakuwa imesinyaa hata kama sehemu zingine kanawiri kias gan. Miguu itakuwa IMESINYAA tu.
kivipi mkuu? sijaelewa fulani hivi
 
Wengine wanakua Kama nguo iliyopauka au inayo chuja
Halafu wana mng'ao Fulani usioeleweka


NB:
Ina bidi uwe makini sababu sio wote wenye dalili hizo wameumia



Mie wengine hisia zangu tuu huwa zinaniambia huyu Dada au huyu kaka kaumia...Ukija kufuatilia vizuri kwa Watu au Ndugu wa karibu Ina dhibitika.

By the way Wanawake watu wema Sana sababu wengine huwa wanakuambia mapema.
 
na anakanyaga sana watoto hapa ofisini hasa wale wa usafi ............

kuna mpishi wa chai kaaga dunia mwaka jana chanzo ni huyu jamaa ananiudhi sababu anafanya kusudi
lina roho mbaya sana. ila malipo ni hapa hapa duniani kama hayatamkuta basi wanae na kizaz chake. hapo si uuaji wa nakusudi kabisa!! fanya hata kuandika vikaratasi print halaf tupa ofisin na mazingira ya karibu najua ni ngumu sana kusema
 
Njia rahisi naijua kwa wanawake. Muangalie miguu, lazima itakuwa imesinyaa hata kama sehemu zingine kanawiri kias gan. Miguu itakuwa IMESINYAA tu.
ni kweli mkuu unakuta usoni kanawiiri kidogo halafu miguu imekonda na inakua meusi kama ni mweupe halaf anatembea kwa kunyenyekea yan polr pole nahis mauvivu
 
sio wanawake wote mkuu baadhi wana roho mbaya sana. ila nimewahi iona mahali hii jamaa angu aliniadithia alivokua anamkuna alihis imepasuka demu alihuzunika sana kumbe alikua naamwonea huruma jama coz kaadhirika yan yan jamaa aloniamhia hata kaa asahau sababu kaokoa maisha yake
 
Dalili nyingine ni kwamba wanakuwa wanatoka jasho sana nyakati za usiku hata kama kuna baridi, tena jasho jingiiiii haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ze heby yule deception nimemfatilia sana naona kama kasoma sana hadi kachanganyiiwa. kiasi cha kudharau nadharia za kweli kuna mada yale moja niliipitia. anajisifu sana hakuna wa kumpinga.
swali sasa kwa nini hukukubali kupokea hiyo damu yenye virology ya kutosha adhibitishe anachokisimamia???
yule mtu ni mwongo ana agenda mbaya sana na ashindwe kwa jina la Mungu kwani atapoteza weng sana
 
 
RAHISI SANA......
Mpe appointment wapi mkutane afu mkifika kunako uwanja we endelea na shughuli yako ya kuperuuuuzz itapofika penyeww sasa hapo endelea tu kumsaula afu anza kupitisha kichwa ukiona hashituki wala hana hofu baaaasss ujue hapo ni SHEEEDDAH. sasa kama kama unauzoefu wa kugegeda bila kuambukizwa endelea lkn WARNING; usiingie kama huna uwezo huo.
 
UKIMWI ni nadharia...virus ya HIV ilikuwepo mamilioni ya miaka.....Mtindo wa maisha ndio chanzo cha UKIMWi pamoja na kupandikizwa kwenye baadhi ya bidhaa hasa zinazotoka nchi za wazungu.
 
ni kweli watu wapo aina mbili wengine ya kwanza ni CCR5 antagonist yaan receptor inablock hiv from entering na watu aina hii lazima urithi from both parent in chromosome 3 na niwachache sana duniani wenigne wakipimwa ni positive ila dalili hawana wanaweza kuwaumwa baadae after latency(stimuli and response)
 
UKIMWI ni nadharia...virus ya HIV ilikuwepo mamilioni ya miaka.....Mtindo wa maisha ndio chanzo cha UKIMWi pamoja na kupandikizwa kwenye baadhi ya bidhaa hasa zinazotoka nchi za wazungu.
nyie ndo mnao poteza watu na mwenzio deception kama vip njoo nkuinject damu yenye virus halaf tuone mrejesho wake
 

Nilishachoka mimi.Naomba tutafutane mkuu nikupe injection ya damu seropositive halafu tukufanyie monitoring for a period of time halafu mwenyewe utatusaidia kupata conclusion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…