Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Ni pm tuu mkuu? Mana Bado Sijakuelewa Niliwah jaribu kuokoka nikashindwa kuukulia wokovu..
Shetani hana shida nawe mpaka pale unapoanza kumkimbia... Wokovu sio raha, sio amani bali ni mwanzo wa vita na shetani... WOKOVU SI LELEMAMA

Jr[emoji769]
 
Kuna siku nilikuwa natoka bukoba naenda Tanga,ENZI hizo gari zinapitia Uganda na Kenya,kufika Nairobi usiku baridi kalii,kupiga misele nikaingia chimbo nikapata ganja! Daah bange ikiamua kukuzingua Ni noma,nilivuta Kwanza nilisikia joto la ajabu halafu niliona kumepambazuka yaani kweupee[emoji23] toka siku ile sikuvuta Tena!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchovu na njaa ni hatari...kilevi chochote unapaswa uwe umekula vizuri..
Ila kumbuka tu huo mmea huku kwetu ni jinai mbaya.
Utapimwa mkojo kama Wema Sepenga
 
Back
Top Bottom