Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Kush ni nzuri sana ikitumika vizuri,watu wa vitengo duniani ndo wanaivika sifa mbaya maana watu wengi wakitumia watajua ukweli wa maisha ya mtu hapa duniani,sasa serikali zitashindwa kutawala watu wanaojua ukweli,kwahiyo lazima serikali zitumia nguvu sana kuzima uwezo wa watu kujitambua na kuthubutu.

Go herb stay weird
 
Teja anajulikana kwa uchovu usioisha.

Mlevi kwa harufu na kuyumba.

Mtumiaji wa jani je?
Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu.
Broo acha kunikumbusha kipindi nasoma j/burg bange ilikolea sana niliachishwa baada ya kupata demu mfaransa ambaye ni wifi yako mtarajiwa mama kijacho
 
Mshana bhana,kumtambua ni rahisi!Mfano humu,wee weka mada ihusuyo bangi tu kisha kaa kitako soma watu wanavyoisifia.Asifuye ni mtumiaji......
 
Mshana bhana,kumtambua ni rahisi!Mfano humu,wee weka mada ihusuyo bangi tu kisha kaa kitako soma watu wanavyoisifia.Asifuye ni mtumiaji......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bhangi panda kichwani usipande tumboni ukanipa njaa.
Bhangi wa bhangeni kama uongo ulizeni bhangi si haramu kama haramu mbuzi asingekula majani !😎
 
Bhangi panda kichwani usipande tumboni ukanipa njaa.
Bhangi wa bhangeni kama uongo ulizeni bhangi si haramu kama haramu mbuzi asingekula majani !😎
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bibi yangu, ni marehemu sasa, alikuwa anatumia huo mmea, akiumwa kichwa alikuwa anachoma na kujifukiza, kinapona
Unafukuza mapepo na kuponya magonjwa mengi
 
Reactions: ywf
Teja anajulikana kwa uchovu usioisha.

Mlevi kwa harufu na kuyumba.

Mtumiaji wa jani je?
Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu.

Muangalie Mbowe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…