Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Mi nimemaliza mbona we endelea kuquote quote mashababi tu uone kama hujaja kuvunjiwa yai
Ukini-quote lazima niku-quote kwani naona una shida kubwa sana katika makuzi yako na hizo ganja inaonekana ulichelewa kuanza kuvuta au ulianza around 7 years.. Ukiacha kuni-quote maana ake mikono juu mwendo wa mateka mwanetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teja anajulikana kwa uchovu usioisha.

Mlevi kwa harufu na kuyumba.

Mtumiaji wa jani je?
Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu.
Afu ganja za siku hizi hazina stimu kabisa unapiga misumali mpk mi 3 ndio kidogoo unastuka sio kama long back ukipata paf 4 za kijiti kimoja tu mambo mswano, hizi bangi watu wanavuta na mademu zao afu wako poa tu hakuna hata maajabu, enzi hizo ukipigisha mtu pafu kadhaa anaweza kurudi kwao kwa miguu akasahau kituo cha daladala.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…