VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Katika mahusiano na hasa juu ya kitanda,utamu hasa ni nini? Miguno? Miuno? Mnato? Speed? Tujadili wanaMMU
Katika mahusiano na hasa juu ya kitanda,utamu hasa ni nini? Miguno? Miuno? Mnato? Speed? Tujadili wanaMMU
Mkuu Mgirik kwangu ni vyote vinne hapo. Wewe vp?
Mkuu,hapa haya mambo yapo ki-sakolojia zaidi na mind set yako wewe mwenyewe,uwe ke au me. Kwa kifupi nadhani mtamu ni wewe mwenyewe vile utakavyotengeneza hisia/feelings kwenye akili yako kuwa nipo na mwanamke mzuri kuliko wote say Miss Universe ( kama wewe ni me ), ndivyo utakavyo hisi utamu na raha zaidi. Kinyume chake pia ni kweli,hata kama ukiwa na demu mzuri sana lakini ukiweka mind set kuwa upo na demu mbaya kuliko wote,basi hutahisi utamu au raha yoyote. Conlusively, utamu unatokana na mind set ya mhusika. I STAND TO BE CORRECTED WAKUU...!Katika mahusiano na hasa juu ya kitanda,utamu hasa ni nini? Miguno? Miuno? Mnato? Speed? Tujadili wanaMMU
ππ π€£π Mkuu umeamua kufukuwa kaburi la utamu? Halafu ukipuyanga mahali unasikia 'jeiefu ya sikuhizi ni ya hovyo sana, jeiefu ilikuwa kipindi kile cha efu mbili kumi na nne kurudi nyuma'Wakuu,karibuni mshushe nondo
Hivi dronedrake Mwenyekiti wa wapiga nyeto alipoteleaga wapi?Wanasema utamu tunao sisi wenyewe wachache waliogundua hilo ndo wanajipunyeto a.k.a kuji screenshot...π€£
Ndo hapo sasa ushangae.. jeiefu ni ile ile haijawai badilika[emoji38][emoji28][emoji1787][emoji23] Mkuu umeamua kufukuwa kaburi la utamu? Halafu ukipuyanga mahali unasikia 'jeiefu ya sikuhizi ni ya hovyo sana, jeiefu ilikuwa kipindi kile cha efu mbili kumi na nne kurudi nyuma'