Utamu ni nini hasa?

Utamu ni nini hasa?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Katika mahusiano na hasa juu ya kitanda,utamu hasa ni nini? Miguno? Miuno? Mnato? Speed? Tujadili wanaMMU
 
Mkuu Mgirik kwangu ni vyote vinne hapo. Wewe vp?
 
Last edited by a moderator:
utam mkuu ni kujifunika shuka yako mwenyewe,wanawake vikwapa tu anakuharibia usingiz
 
whaaaaat??
1385713_543162215770387_677518936_n.jpg
 
Katika mahusiano na hasa juu ya kitanda,utamu hasa ni nini? Miguno? Miuno? Mnato? Speed? Tujadili wanaMMU
Mkuu,hapa haya mambo yapo ki-sakolojia zaidi na mind set yako wewe mwenyewe,uwe ke au me. Kwa kifupi nadhani mtamu ni wewe mwenyewe vile utakavyotengeneza hisia/feelings kwenye akili yako kuwa nipo na mwanamke mzuri kuliko wote say Miss Universe ( kama wewe ni me ), ndivyo utakavyo hisi utamu na raha zaidi. Kinyume chake pia ni kweli,hata kama ukiwa na demu mzuri sana lakini ukiweka mind set kuwa upo na demu mbaya kuliko wote,basi hutahisi utamu au raha yoyote. Conlusively, utamu unatokana na mind set ya mhusika. I STAND TO BE CORRECTED WAKUU...!
 
Wanasema utamu tunao sisi wenyewe wachache waliogundua hilo ndo wanajipunyeto a.k.a kuji screenshot...🤣
 
Wakuu,karibuni mshushe nondo
😆😅🤣😂 Mkuu umeamua kufukuwa kaburi la utamu? Halafu ukipuyanga mahali unasikia 'jeiefu ya sikuhizi ni ya hovyo sana, jeiefu ilikuwa kipindi kile cha efu mbili kumi na nne kurudi nyuma'
 
Wewe Kama Me mwenzangu nakushangaa Sana, kwamba Hadi Leo hujui kuwa utamu ni zile shahawa zako zinapotiririka kwenye mrija wake?
Wanaume wengine bure kabisa!

Kwa Mwanaume, anapaswa kujiuliza utamu kwa mwanamke anautoa wapi?

Ila kwa mume ni wazi kabisa, kuwa Shahawa zetu ndio kila kitu!
Kojoa aisee, upate utamu wako!
 
[emoji38][emoji28][emoji1787][emoji23] Mkuu umeamua kufukuwa kaburi la utamu? Halafu ukipuyanga mahali unasikia 'jeiefu ya sikuhizi ni ya hovyo sana, jeiefu ilikuwa kipindi kile cha efu mbili kumi na nne kurudi nyuma'
Ndo hapo sasa ushangae.. jeiefu ni ile ile haijawai badilika
 
Back
Top Bottom