Utamu wa Big G ni kutafuna...

Mr Bean

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
206
Reaction score
178
hamjambo wadau.

kuna nyimbo leo niliisikia kwenye redio ya gari langu Altezza leo asubuhi , kuna msanii alikua anaimba akawa anasema " utamu wa Big G ni kutafuna,,," mimi maisha yangu yote nilikua ninameza Big G ,, sasa leo nikaamua kujaribu kutafuna nione kama kweli ndio inakua tamu.
kumbe ni kweli.

asanteni, jioni njema
 
Okay tumejua kuwa una gari aina ya alteza tena ina buffa kubwa... na redio na sehem.... na unaendesha mwenyewe huku unasikiliza mziki
 
gari yko wap??? ujiiiko!!! tuu! fyuuu...
 

Hii ndio main nadhani coz hakukuwa na msingi
 
Hiyo alteza kihome home tunafugia mbwa
 
We jamaa utakua wa kule BK....kuna umuhim wa kutaja aina ya gari lako kwenye io paragraph??...
 
eti ALTEZZA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leo nimeamini kweli mtu chake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…