Utamu wa bodaboda

Utamu wa bodaboda

Mkuu,watu wasikutishe maisha ni kujaribu jambo lolote muhimu ni kutusua tu!
 
Huna utofauti na mdogo wangu ninae mdanganyaga, "ntakuletea pipi nikitoka mjini "
Sikuhukumu, labda una umri gani ambao unashindwa kudadavua jambo kama hilo mwenyewe mpka kuja jf?

Oya kua bhana, mambo mengine siyo yakuleta humu!!
Sawa mkuu
 
Unataka ushauri kuhusu kuhalisha ngono na huyo ajuza wako au vipi. Ndege wafananao huruka pamoja.Haya anzeni kuruka
 
Mi nlikuaga bodaboda na naingia Jf,wakati nasubiria ajira
 
Nafanya kazi ya boda boda muda sasa.. Miezi 2 iliopita nilihama kijiwe maeneo ya sinza nikahamia magomeni

Ebana hiki kijiwe kina abiria balaa yani hukai muda wote uko bizee, Sasa kuna abiria wangu mmoja ni mama mtu mzima huwaga naendaga kumchukua kwake nampeleka kwenye biashara zake kiukweli analipa vizuri sehemu ya buku 1 anakupa buku 5 halafu hata chenji hataki


Juzi amenitumia meseji anataka niwe nae kimapenzi na ameniahidi ataninunulia boda boda yangu, sasa Nimepagawaaa nikifiria hii boda boda ni ya mtu nafanya kupeleka hesabu na ndoto yangu kumiliki boda boda yangu

Ushauri wakuuu
Jicho litaliwa wacha papara,tafuta chako
 
Kwahiyo ndo unaona ndoto yako inatimia?. Nakushauri hama hicho kituo na huko utakapoenda jiwekee malengo, weka akiba hadi upate hela ya kununua boda yako.
 
MKUBALIE TU MAANA HICHO KIJIWE CHOTE AMESHAKIFADHILI BODABODA, BADO WEWE TU....MAMA ANA UTU HUYO
 
Back
Top Bottom