Utamu wa bodaboda

Kwahiyo ndo unaona ndoto yako inatimia?. Nakushauri hama hicho kituo na huko utakapoenda jiwekee malengo, weka akiba hadi upate hela ya kununua boda yako.
Asante kwa ushauri mkuu
 
Ndomana mkeo anakulisha chakula kidogo,ashakushtukia na jimama wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…