secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Hii fimbo kumchapa nayo mtu hadharani kimaadili hairuhusiwi ila ukweli ni kwamba yenyewe hufanya watu tuendelee ku exist katika Dunia.Maajabu ya fimbo ya ukwaju,kuna watu wanaipenda wakati inapochapa,wengine huipenda pale ikichapa sana huwa inachanikachanika na kutoa majimaji,ah fimbowe mbona fimbo we,unabalaa wewe fimbo