Utamu wa fimbo ya ukwaju

Fimbo ya ukwaju si korofi,ikiwa sehemu safi.
Ni ndogo kama pilitoni,ni kubwa ikitoka usingizini.
Inapo ingia shuhulini,haitaki utani abadani.
Inachachamaa wima wima,jicho Moja linatazama.
Pangoni taratibu inazama,inakunywa maji Kwenye kisima.
Ikilizika kunywa maji ya kisima,basi taratibu inakohoa na kuzizima.
Fimbo ya ukwaju iyoooooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈ
 
Aisee hiyo hatari,inakunywa maji kumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…