Utamu wa JF unapokolea

Utamu wa JF unapokolea

Kaka Sam

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
540
Reaction score
78
179686_195594760452914_100000071748858_787494_5178815_n.jpg

unapokuwa hutaki kupitwa na post hata moja, basi hali kama hii hutokea 🙂 lol
 
choo cha wapi hicho Ubungo stendi au:coffee:
 
Huo ni uongo, that is just a stagged photo!. Hiyo ni laptop, mahali pake sahihi ni kwenye lap, sasa hata hapo alipo, kwanini asiiweke kwenye lap?, ameiweka chini ili watu waone!.

Chumba hicho ni chumba muhimu kwa starehe zake, kuingine utakuta magazeti ya mapicha, kwingine kuna screen na wengi wetu siku hizi huingia na simu ili tuu u take time to relax!.
 
Kwani kinawauma nini mbona watu mnakasirika huenda hata hiyo ni starehe yake! Wabongo bana duh
 
Huo ni uongo, that is just a stagged photo!. Hiyo ni laptop, mahali pake sahihi ni kwenye lap, sasa hata hapo alipo, kwanini asiiweke kwenye lap?, ameiweka chini ili watu waone!.

Chumba hicho ni chumba muhimu kwa starehe zake, kuingine utakuta magazeti ya mapicha, kwingine kuna screen na wengi wetu siku hizi huingia na simu ili tuu u take time to relax!.

Anajikunja hivyo ili kurahisishya mambo!
 
choo cha wapi hicho Ubungo stendi au:coffee:

Choo cha ofisin kwetu.... au mnabisha niweke nyingine, na huyo na friend aliomba nimpige akiwa ana do the nidfull
 
Acha urongo weee picha hiyo kwenye net miaka lukuki sasa!
 
Back
Top Bottom