Utamu wa Mahindi ya kuchoma hunoga kipindi ambacho kuna kamvua mvua au baridi

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,243
Wasalaaam,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.Mimi ni miongoni mwa wadau wanaopenda kula Mahindi ya kuchoma.Lakini nimekuwa naona Ulaji wa mahindi hunoga utamu kipindi ambacho kuna kamvua mvua au baridi tofauti na kipindi ambacho jua limewaka.Sasa nimekuwa najiuliza inakuwaje kuwe na utofauti kwenye radha ya Mahindi yaliyochomwa? Natanguliza shukrani zangu.
 
Ndivyo ulivyoiaminisha akili yako mkuu.
 
Wasalaaam,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.Mimi ni miongoni mwa wadau wanaopenda kula Mahindi ya kuchoma.Lakini nimekuwa naona Ulaji wa mahindi hunoga utamu kipindi ambacho kuna kamvua mvua au baridi tofauti na kipindi ambacho jua limewaka.Sasa nimekuwa najiuliza inakuwaje kuwe na utofauti kwenye radha ya Mahindi yaliyochomwa? Natanguliza shukrani zangu.

= ladha

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
kama umepaka limao na pilipili_chumvi lazima yawe na ladha tofauti
 
Wasalaaam,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.Mimi ni miongoni mwa wadau wanaopenda kula Mahindi ya kuchoma.Lakini nimekuwa naona Ulaji wa mahindi hunoga utamu kipindi ambacho kuna kamvua mvua au baridi tofauti na kipindi ambacho jua limewaka.Sasa nimekuwa najiuliza inakuwaje kuwe na utofauti kwenye radha ya Mahindi yaliyochomwa? Natanguliza shukrani zangu.
Hata bangi kipindi cha baridi na mvua inanoga zaidi kuliko kpindi cha jua kali na joto.
 
Back
Top Bottom