Mkwala
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,164
- 1,243
Wasalaaam,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.Mimi ni miongoni mwa wadau wanaopenda kula Mahindi ya kuchoma.Lakini nimekuwa naona Ulaji wa mahindi hunoga utamu kipindi ambacho kuna kamvua mvua au baridi tofauti na kipindi ambacho jua limewaka.Sasa nimekuwa najiuliza inakuwaje kuwe na utofauti kwenye radha ya Mahindi yaliyochomwa? Natanguliza shukrani zangu.