Wasalaaam,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.Mimi ni miongoni mwa wadau wanaopenda kula Mahindi ya kuchoma.Lakini nimekuwa naona Ulaji wa mahindi hunoga utamu kipindi ambacho kuna kamvua mvua au baridi tofauti na kipindi ambacho jua limewaka.Sasa nimekuwa najiuliza inakuwaje kuwe na utofauti kwenye radha ya Mahindi yaliyochomwa? Natanguliza shukrani zangu.
Wewe shemale upo?= ladha
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
"Uhache hubaguzi wewe"= ladha
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Jina lako na mwandiko wako haviendani."Uhache hubaguzi wewe"
Kama wewe umesoma, sio wote tumesoma.
"Hutake husitake"
Aisee nimekumiss saana wewe Ajuza. Ulikua wapi aisee?!?!= ladha
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kumbe bado upo= ladha
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
"Nina" maana yake ni nini?!?!Nina lako na mwandiko wako haviendani.
Na wewe "Nina" ndiyo mdudu gani?Nina lako na mwandiko wako haviendani.
Ameshiba viazi na uji huyo."Nina" maana yake ni nini?!?!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]faiza foxy katika ubora wake.= ladha
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Nina= jinaNina lako na mwandiko wako haviendani.
Nina?Nina lako na mwandiko wako haviendani.
Hata bangi kipindi cha baridi na mvua inanoga zaidi kuliko kpindi cha jua kali na joto.Wasalaaam,