Utamu wa mapenzi sio kuzaa

Sahihi usemalo mi yamenishinda unabeba,unalea,unazaa mwanaume anachokusaidia ni kutupia picha ya mtoto FB like father like a son.mxuuuw
Huyoni mvulana. Mwanaume wa kweli huchukua responsbility kutoka ya kule mwanaye at any cost. Akianza kutegea na kukwepa majukum huyo hakuwa tayari
 
Shamba bora ni lile lenye kutoa mazao mengi, shida yenu mmeathiliwa na tamaduni za kikafiri(Kizungu), eti uzazi wa mpango!!.
Tatizo sio kuwa na mazao mengi. Je una uwezo wa kuyatunza?
 
Kuwa na familia kubwa / watoto wengi kuna faida na hasara, ___________faida >hasara , km una uwezo wa kupata watoto/familia kubwa basi fanya hivyo, babu/baba zetu hawakuwa wapumbavu.

Dunia imebadilika ghafla, tumerudi kwenye auto search km zamani , nikimaanisha kuwa hakuna guarantee tena ya maisha; kwa mfano 'kuna wakati ilikuwa mtoto akisoma vizuri na kufaulu kulikuwa na uhakika wa kupata kazi/ajira nzuri maisha yakasonga. .. nafikiri hizo zama zimepita na hazitarudi tena.
Km uchumi binafsi haujakaa vizuri, usijaribu hii kitu. .. utaongeza idadi ya machokoraa.
 
Bahati mbaya ipo mkuu. Maisha si kukariri ni uhalisia.

Usiweke mbele bahati mbaya. Kama ulikuwa na mipango hata hiyo bahati mbaya hugeuka baraka tu. Ninachosemea ni kufyatua watoto bila mpangilio. Wewe umekariri bahati mbaya
 
Usiweke mbele bahati mbaya. Kama ulikuwa na mipango hata hiyo bahati mbaya hugeuka baraka tu. Ninachosemea ni kufyatua watoto bila mpangilio. Wewe umekariri bahati mbaya
"...bahati mbaya hugeuka baraka..."
 
Aseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…