Utamu wa misosi yetu

Utamu wa misosi yetu

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,085
Reaction score
15,197
Halafu zisi ive......
Ziwe mbichimbichi hivi...... mixer kitunguu swaumu.
Mashallah na kasamaki kakavu au tunyama twa mbuzi twa kuchoma na kachumbeeeri.......
Kwa ugali wa dona.....
Uliopikwa kwenye chungu na kuni.
Usifany nchezo.
Hapo VP...wajameni....
 
73cedaae-364d-4344-b42b-69004bed702a.jpeg
 
Halafu zisi ive......
Ziwe mbichimbichi hivi...... mixer kitunguu swaumu.
Mashallah na kasamaki kakavu au tunyama twa mbuzi twa kuchoma na kachumbeeeri.......
Kwa ugali wa dona.....
Uliopikwa kwenye chungu na kuni.
Usifany nchezo.
Hapo VP...wajameni....
Hahhhhh hapo shwari mkuu..
 
Back
Top Bottom