Utamu wa Mjeda

Utamu wa Mjeda

Watu wote wapige makofi kwa maana tukio la kihistoria lililosubiriwa kwa miaka mingi... sasa litafanyika kabla Makonda hajapatwa na miti.

Siku hiyo mvua lazima inyeshe. Itake isitake.

Jiandae Kassie... Nimejiandaa kama FC Barcelona bila Messi.

Hahahahaaa babuuuu
 
Mimi ugonjwa wangu Traffic wa Kike, hata awe na sura mbaya kiasi gani akiwa kwenye sare zao baasi Sina nguvu kabisa. Nitamuomba Kamanda nanihiii kibali nimshonee Mke wangu sare kama ile ili nisiwaharibu traffic wa watu.
nmecheka sana aisee,wazo zuri
 
Wewe unatafuta kufa na stroke mapema ungali kijana, unajipeleka kwenye frustration ndugu. Kitu chochote kinachoitwa askari, not recommended, labda Kama Ni take away Tu.
iyo ni sawa na ukuta ukutani,nani anataka msongo wa mawazo,iyo ni take away tu
 
Ngoja ukute yuko huku nauhakika lazima uje utoe mrejesho kilichokukuta.
usinifanyie hivyo mkuu,nlivyosoma moyo umedunda maana hawa watu hawaaminiki ,hachelewi kuja na kikosi cha watu kadhaa waje wanifundishe adabu
 
Wanasema kumpigia simu mchepuko wako wa zamani ni sawa na kutembea na fimbo ya muwa kwani wakati wowote unaweza kuutafuna
 
Back
Top Bottom