Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Ongeza hela kidogo ugize japo IST, ogopa kununua gari za used bongo kwa mkopo. Ikiwa si bahati yako utajuta. So ushauri wangu huo mkopo uwe japo 14M upate IST uagize from japan hutojutia.Mimi nataka kukopa bank m12 ninunue gari ndogo inisaidie kwenye pilikapilika zangu maana napata shida kwa kweli miguu mibovu inanisumbua siwez kutembea sana, na sina cash kwa sasa ya kununua gari ,inabidi tu nikope ntabaki na take home ya laki saba baada ya makato.silipi kodi nimeshajenga,nasomesha mtoto mmoja. Mungu tu anisaidie nitimize nia yangu maana nishaamua.
Nilikuwa nikipita karibu na ile bank niliyokopa zaidi ya m18 moyo unaanza kimbia na pumzi nayo nzitoππππ
Mkopo kwa nia ya biashara, kujenga, gari ikatokea tu ghafla paap pesa huioni imekata bila matarajio inaumaa sana. Kimbembe ukiinua salary slip ukitizama basic na take home roho inaumaa zaidi.
Baadhi ya watumishi wanaenda job tu hakuna namna ila mishahara walishachukua siku nyingi πππππ
Naona mkopo usianze nao biashara bali ongezea mtaji katika biashara, usikurupuke ukaja tesa familia, pata presha au kufilisiwa.
Mimi ni nani nisikope, Serikali yenyewe inakopa. Wajuvi tupeni uzoefu wa mikopo kutoboa nayo.
π€£π€£π€£πππ€£π€£π€£πππππ€£π€£πππBodaboda VS watumishi
Kafie mbele hukoSio bure Allah S.W amekataza riba .... Riba ni ubepari.
Riba ni mbaya ndugu zanguni ... Don't even go near it , it'll eat you up.
Asanye kwa mawazo ntalifanyia kazi .Ongeza hela kidogo ugize japo IST, ogopa kununua gari za used bongo kwa mkopo. Ikiwa si bahati yako utajuta. So ushauri wangu huo mkopo uwe japo 14M upate IST uagize from japan hutojutia.
Huu ushauri unanifaa sana...nauchukuaUlikosea hesabu ndogo .... Ulipaswa kufanya hivi:
hitaji lako ni 18M
Ungetafuta wewe binafsi asilimia 60% ya pesa yote unayohitaji.
60% ya 18,000,000/= ni 10,800,000
Alafu ndio UKAKOPE 40% iliyobakia. Ambayo ni 7,200,000/=
Ungejipa unafuu katika kuirudisha iyo 7.2M
Sio kweli kwamba kama unge-raise 10.8M ungechelewa sana au ungefia katikati ya safari, mbona Bado upo na mpaka imefika mahali unayachukia majengo ya benki uliyokopa.
UHARAKA wa kuchukua 100% mkopo unaua watu sio tu kuwaaibisha.
Benki wanajua tuna mawenge ndio maana wanatuumiza.
Bora ungeumia miaka 2 hata na zaidi kutafuta milioni 10 na laki 8 alafu ndio UKAKOPE iyo milioni 7.2 usingechukia jengo la benki niamini Mimi.
View attachment 2543456
Nakushauri tafuta kianzio kwanza mfano m6, halafu m6 nyingine ndio uchukue mkopo.Mimi nataka kukopa bank m12 ninunue gari ndogo inisaidie kwenye pilikapilika zangu maana napata shida kwa kweli miguu mibovu inanisumbua siwez kutembea sana, na sina cash kwa sasa ya kununua gari ,inabidi tu nikope ntabaki na take home ya laki saba baada ya makato.silipi kodi nimeshajenga,nasomesha mtoto mmoja. Mungu tu anisaidie nitimize nia yangu maana nishaamua.
Unaongea tu, mtumishi kujichanga mpaka apate hyo m6 ni kaz labda awe mkuu wa idara kwasabab anapata stahiki za ukuu wa idara lakin kwa mtumishi wa kawaida ni shughur pevNakushauri tafuta kianzio kwanza mfano m6, halafu m6 nyingine ndio uchukue mkopo.