Utamu wa mkopo umetumiaje

Utamu wa mkopo umetumiaje

mkopo ni deal sana kama unajua unachokifanya , mimi binafsi nilikopa ten mwaka 2021 , imekuwa ni game changer najiona nilifanya hesabu ya maana sana , kwa watumishi ni shida kidogo wanakopa kujenga, kununua gari huo ni ujinga
Ww ulitaka afanyie biashara!? Kumbuka si kila mtu anaweza biashara
 
Back
Top Bottom