Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Miongoni mwa Noti nzuri na bora kuwahi kuwa nazo,nilikuwa nikiipenda mnooo hadi leo.View attachment 1594475
Shilingi mia mbili enzi za Jakaya Mrisho Kikwete akiwa waziri wa fedha na Rashid akiwa gavana wa benki kuu
Walishika sangara, na hii noti ilikuwa maarufu kwa jina la sangaraMiongoni mwa Noti nzuri na bora kuwahi kuwa nazo,nilikuwa nikiipenda mnooo hadi leo.
Nyuma ilikuwa na picha ya wavuvi wawili wameshika samaki mkuuubwaa.
Gone are the days...!!
Ndiyo maana ulifeli la saba
🤣Nikawezaje kuhitimu la nane?Ndiyo maana ulifeli la saba
Motivation speaker noma Sana, mwingine alisema amejenga sheli kwa msingi wa nyanya moja. Aliiba kwao akaenda kumuuzia mpangaji wao.View attachment 1594490Motivational speaker washaingiza mjasiriamali mzigoni