Duh!Naona Kuna mabadiliko karibia Kila mtandao Kwa Sasa huwezi kupata hata GB 1 Kwa elf 2, mambo ni fire π₯ sio kitoto.
Kwa upande wetu tulioingia Ile mikataba minono ya post paid tulikata bima ya kutukinga na vifurushi kupanda bei na kiukweli matunda tunayaona, bado tunaendelea kunesa kwenye mabando ya elf 25 gb 30, elf 40 gb 50, elf ,50.gb 65, elf 60 gb 80 na elf 75 gb 100 π (hapa Kila mbuzi hula Kwa urefu wq kamba yake)
Ubaya ni kwamba nayo postpaid Kwa sasa hawana mikataba minono Ile ya zamani, Kwa Sasa mikataba mipya Ina mabadiliko ya bei mpya. elf 30 ni gb 19, elf 40 ni gb 26, elf 60 ni gb 50 , laki ni gb 100.. mi
Kwaiyo wewe ni mbuziNaona Kuna mabadiliko karibia Kila mtandao Kwa Sasa huwezi kupata hata GB 1 Kwa elf 2, mambo ni fire π₯ sio kitoto.
Kwa upande wetu tulioingia Ile mikataba minono ya post paid tulikata bima ya kutukinga na vifurushi kupanda bei na kiukweli matunda tunayaona, bado tunaendelea kunesa kwenye mabando ya elf 25 gb 30, elf 40 gb 50, elf ,50.gb 65, elf 60 gb 80 na elf 75 gb 100 π (hapa Kila mbuzi hula Kwa urefu wq kamba yake)
Ubaya ni kwamba nayo postpaid Kwa sasa hawana mikataba minono Ile ya zamani, Kwa Sasa mikataba mipya Ina mabadiliko ya bei mpya. elf 30 ni gb 19, elf 40 ni gb 26, elf 60 ni gb 50 , laki ni gb 100.. mi
Si baada ya mwezi unakua affected na bei mpya au mkataba ni wa muda gani?Namshukuru Sana mdau aliyeleta Uzi wa Post paid humu Jf miezi miwili iliyopita,now nakula zangu 80GB kwa 60k. Soon nataka nipande kwenye 75k niwe najipatia 100GB.
Nishasahau stress za vifurushi [emoji23]
Hapana,kama uliingia mkataba kwa Bei na vifurushi vya zamani bhas hata kama ukipanda unapanda kwa vifurushi vya zamani sio hivi vipyaSi baada ya mwezi unakua affected na bei mpya au mkataba ni wa muda gani?
kwahiyo unakuwa unalipia 50k kila mwezi auAcha kabisa mimi leo nilienda tigoshop buguruni rozana ili niingie nao tigo mkataba wa postpaid wa miaka 2 lakini kwa mabadiko ya gb niliyoyakuta nimeamua kuachana na mpango huo aisee nikaenda vodashop kariakoo msimbazi opposite na police station angalau nmekuta Kifurushi cha kasiinternet cha 50k kima gb24 ila zikiisha bado unapata kuperuzi kwa speed ya chini mpka mwezi unaisha hata kama kikiisha waki2 kabla ay wiki3 kabla ..ambapo laini yangu hii hii imewezeshwa kuwa na menu hiyo ya hiko Kifurushi ama unasajili nyingine ni wewe tu na matakwa yako
Ndiyo mkuu unakuwa unajiunga wewe mwenyewe ktk simu yako laini yako inawezeshwa kuwa na hiyo menu ya kujiunga we mwenyewekwahiyo unakuwa unalipia 50k kila mwezi au