NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Naona Kuna mabadiliko karibia Kila mtandao Kwa Sasa huwezi kupata hata GB 1 Kwa elf 2, mambo ni fire 🔥 sio kitoto.
Kwa upande wetu tulioingia Ile mikataba minono ya post paid tulikata bima ya kutukinga na vifurushi kupanda bei na kiukweli matunda tunayaona, bado tunaendelea kunesa kwenye mabando ya elf 25 gb 30, elf 40 gb 50, elf ,50.gb 65, elf 60 gb 80 na elf 75 gb 100 😁 (hapa Kila mbuzi hula Kwa urefu wq kamba yake).
Ubaya ni kwamba nayo postpaid Kwa sasa hawana mikataba minono Ile ya zamani, Kwa Sasa mikataba mipya Ina mabadiliko ya bei mpya. elf 30 ni gb 19, elf 40 ni gb 26, elf 60 ni gb 50 , laki ni gb 100.. mi